natafuta bwana

Ndo tatizo la kuanza uhuni utotoni. Kila mtu utaona ana mapungufu, nenda kakae AfricaSana uwe unabadilisha kila siku!
 
kama huna hela usi pm me sawa wala usi committed

Nimependa lugha ya kizungu uliyotumia hapa. Lakini usijali. Si bado uko form 2? Jitahidi utaweza tu baadaye kuiandika na hata kuzungumza binti yangu, lakini nenda/mwone mwalimu mmoja wa kike hapo shuleni kwako akushauri. Inavyoonekana binti yangu ndo unaanza kuvunja KAPU/UNGO.
 
natafuta bwana age 20 mpaka 30 lazima uwe nahela na kazi u must be good on bed

Je wewe una umri gani?Elimu yako. Urefu wako {cm}.Uzito wako{kg}.Rangi yako.Hapo ni rahisi kupata mtu sahihi maana sifa zako zitakuwa wazi {kama utanii.}
 
come on new gamba from i cant sleep 2 muhogo now 2 bwana na hela duhuuuuuuuuuu
 
kama huna hela usi pm me sawa wala usi committed

Huyu ni mtoto...kasome ukue..haya mambo ya wakubwa waachie wwenyewe. we ni denti unanukia harufu ya madaftari na maandazi kabisa. komaa na shule kwanza.
 
NiPM binti, njoo kwa pedeshee n ikutunze, achana na hao masharobaro
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…