Binti yangu amechaguliwa kwenda chuo cha ualimu msingi, nimemwambia akae kwa kutulia bora hata aende VETA akachukue auto electrical au fitter mechanics au tunner...
Bladi full..🤨
Binti yangu amechaguliwa kwenda chuo cha ualimu msingi, nimemwambia akae kwa kutulia bora hata aende VETA akachukue auto electrical au fitter mechanics au tunner...
Bladi full..🤨
Mkuu umeweka maelezo mafupi sana kuvutia washirika kwa hii kazi ni kama unaita tu mtu wa kukusindikiza sokoni. Hata mkoa au Wilaya haujasema sembuse uwekezekano wa kupata wateja wa kukidhi makadirio ya kipato hicho kikubwa japo na chenyewe hujakiongelea. Ukubwa na udogo wa kitu unategemea unalinganisha na nini, mfano waweza linganisha panzi na sisimizi sasa kwa mwingine vyaweza kuwa vyote vidogo.
Ushauri
Ili mtu aweze kukupigia basi boresha pendekezo lako la biashara upate washirika sahihi
Naichukia kazi ya ualimu, na kuna majeraha ninayo ndani ya moyo wangu hayajapona kwasababu ya hii kazi ya ualimu. (Simaanishi kwamba ni mbaya) lakini kwangu hua naihubiri kama adui wa mafanikio.