Loveeness78
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 280
- 294
Habari za kazi wakuu,
Natafuta Butcher ya kukodi jijini Dar es Saalam, kwa yeyote anaeweza kunisaidia kwa namna moja au nyingine namkaribisha tafadhari.
Butcha inaweza kuwa mtaa wowote, naona itanifaa tu.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app