natafuta boyy, nipo dar es salaam

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,175
Reaction score
64,552
Mimi nipo dar es salaam, natafuta boyi kwa lugha ya kwetu inaitwa shaghii. Ni ile ya kushikia sufuria wakati wa kusonga ugali. yenyewe ina umbo la "Y". Mwenye kujua zinapo uzwa hapa dar naomba anisaidie kunielekeza, nisaidieni coz mikono inaungua.
Ni hayo tu. mia
 

Umetumwa na mganga au?
 
Utapokea matusi mengi hapa mzee wa mia, jiandae, watu kuona tu heading wamedhani wewe ni girl ndo unatafuta boy!!!?
swali: hivi wewe ni MNYAMWEZI?
 

Jirani yangu anatengeneza za chuma,zitakufaa?
 
mm ninayo ila haina umbo la Y...ina umbo la RUNGU...itakufaa?...mia!
 
Utapokea matusi mengi hapa mzee wa mia, jiandae, watu kuona tu heading wamedhani wewe ni girl ndo unatafuta boy!!!?
swali: hivi wewe ni MNYAMWEZI?

hahahahaaaa...!!!. Wakinitukana watakuwa wananionea. K0wani inaitwaje ile? Mimi sio mnyamwezi bali mimi ni mnyantuzu. mia
 
Kuna nyngne znafanana na izo, znyewe znaitwa girl-o... jiran anazo apa!
 
machale ku ndesaaa mae.....

ee meku..la kuongesa sina babangu, nisichajiwe ya kingilio Mangi oko!mi nlikuwa napita tu,nikakutana na hii fidio(video) hapa, Mbuta nanga..yewoomii
 
yethuu na marai mae babaaa afa na mpreshaa....mi mgeni hapaaa
 
Snowhite..weraa'yuuuu..come hiya hiya,si zisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…