Watanzania wezako wamekushinda ndio utaweza kuishi na watu wa mataifa mengine? Ww unadanganya nafsi yako tu, kua na boy friend wa nje ya nchi hakuwezi kukuletea mabadiliko yeyote bila ww kubadilika kwanza! Jiangalie ww mwenyewe kitabia ukoje? Na hao uliokua nao mnaendana kitabia? Maana mwanamke akiwa mzuri tu anakua na majivuno na dharau akitegemea kua coz ni mrembo atapata mwaname yeyote anayemtaka, matokeo yake anachezewa tu na kupigwa chini kila mara.
Mh! Miaka 40 ni boy? Au ulikuwa unamaanisha mpenzi wa kiume ndo anaitwa boyfriend?, Non citzen? Hebu jitahd kuzungumza kiswahili dada acha kujijengea kasumba mbaya kuwa ukiandika kiingereza chako utaonekana MSOMI(samahani lakini kama nimekukwaza)
Unataka umri zaidi ya miaka 40 then unasema ni boyfriend? We sema unatafuta MANFRIEND! Au kibabu friend! Huna lolote unataka upate shugadadi tu mshazoea kupiga mizinga vijana wako makini. We pendelea kwenda pale kwa king kikii anapopiga muziki kuna vibabu vitakuokota.
boy friend awe na miaka zaidi ya 40 duuh huyo sio boy ila ni mtu mzma tena
hii kweli kweli tuache utani.
Natafuta boyfriend upweke umenichosha , nimejitahidi ila kumbe inakuwa ngumu.
vigezo sijuwi conditions hizi hapa.
1. NON CITIZEN, from any country.
2. Above 40 umri chini ya hapo No
3. Asiwe na relation na mwanamke mwengine.
Hivi wa vigezo hivi wanapatikana humu kweli? dah! mie watanzania wenzangu wamenishinda.ngoja nione.
kwani kutafuta boyfriend ndo kukosa mvuto? sikusema sitongozwi nimesema watanzania wenzangu wamenishinda kwa matatizo mbali mbali ambayo sina uvumilivu nao. i wish ungeniona one day japo njiani tu kuthibitisha usemi wako.
hii kweli kweli tuache utani.
Natafuta boyfriend upweke umenichosha , nimejitahidi ila kumbe inakuwa ngumu.
vigezo sijuwi conditions hizi hapa.
1. NON CITIZEN, from any country.
2. Above 40 umri chini ya hapo No
3. Asiwe na relation na mwanamke mwengine.
Hivi wa vigezo hivi wanapatikana humu kweli? dah! mie watanzania wenzangu wamenishinda.ngoja nione.
Hahaha huyo atakua ni "man friend"boy friend awe na miaka zaidi ya 40 duuh huyo sio boy ila ni mtu mzma tena