Dominick mibazi Senior Member Joined Nov 4, 2016 Posts 177 Reaction score 96 Apr 1, 2017 #81 Kwa umri wako we co wakutafta boyfriend we ushazeeka tafta mme tena mahali ulipe ww fanya mahesabu ulianza kutmika na miaka 15 co ushatmika miaka 16 huu muda was kua na family hacha uboya ww unakua bibi kesho kutwa
Kwa umri wako we co wakutafta boyfriend we ushazeeka tafta mme tena mahali ulipe ww fanya mahesabu ulianza kutmika na miaka 15 co ushatmika miaka 16 huu muda was kua na family hacha uboya ww unakua bibi kesho kutwa
Perpendicular JF-Expert Member Joined Jul 5, 2015 Posts 1,494 Reaction score 1,185 Apr 1, 2017 #82 Boyfriend anatafutwa hadi umefika miaka 31+.
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,728 Apr 1, 2017 #83 Chura ipo?
Nanoli JF-Expert Member Joined Oct 15, 2015 Posts 3,739 Reaction score 5,978 Apr 2, 2017 #84 Nimezinguliwa sana huko pm,... Nakutana na midume to.
zefounda Member Joined Nov 26, 2012 Posts 97 Reaction score 19 Apr 2, 2017 #86 Lady Janet said: Habari zenu wana JF, Ninahitaji boyfriend alie serious na awe na ajira awe mkristo asiwe mlevi awe na elimu kuanzia O'level. WASIFU WANGU Mimi nina umri wa miaka 31 Maji ya kunde Mkristu Nimeajiriwa Nina kipato cha wastani tu Nina jitegemea Asanteni Click to expand... Ni pm
Lady Janet said: Habari zenu wana JF, Ninahitaji boyfriend alie serious na awe na ajira awe mkristo asiwe mlevi awe na elimu kuanzia O'level. WASIFU WANGU Mimi nina umri wa miaka 31 Maji ya kunde Mkristu Nimeajiriwa Nina kipato cha wastani tu Nina jitegemea Asanteni Click to expand... Ni pm