jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 4,605
- 11,873
Pesa kwani kuna biashara gani inafanyika hapo?Hahahhahahah, una hela za kununua kitaulo weye ?????
Kwani binti mwisho miaka mingapi?Miaka 45 ni binti?
Sasa unafikiri yule dadako mtumia karoraiti anatoka na na jini?? Anapendwa na dume kama mimi tuKumbe kuna wanaume bado wanahitaji wenye mikorogo maeee....
Sorry sir.... Kwetu hakuna anaetumia karoraitiSasa unafikiri yule dadako mtumia karoraiti anatoka na na jini?? Anapendwa na dume kama mimi tu