Natafuta Bajaji used Singida

Ziggy Sobotka

Member
Joined
Feb 13, 2019
Posts
19
Reaction score
36
Hey Habari wadau natafuta bajaj kwa yeyote anayeuza iwe katika hali nzuri sio imechoka sana. Mahali iwe Singida maana itatumika Singida Mjini. Asante
 
Nilipita kwa Mtogole jana pale karibu na kanisa katoliki la Mt. Kizito, pembeni yake kuna kibajaji kimeozeana na hakitumiki kinachezewa tu na watoto. Kama unakihitaji nitafute PM nikuelekeze vizuri.
 
Somo Tangazo tena sio iliyooza.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…