D Daltonae Member Joined Jun 18, 2014 Posts 26 Reaction score 5 Aug 18, 2014 #1 Nataka vyumba viwili vya kulala na sebule ,jiko liwe na sink la kuoshea vyombo,kiwe na choo cha ndani na maji yawe ya uhakika chooni na jikoni. nalipa laki 2.5. Kwa alienacho ani pm.
Nataka vyumba viwili vya kulala na sebule ,jiko liwe na sink la kuoshea vyombo,kiwe na choo cha ndani na maji yawe ya uhakika chooni na jikoni. nalipa laki 2.5. Kwa alienacho ani pm.