brightwoman
Member
- Oct 15, 2015
- 17
- 15
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 24,nina stashahada ya utunzaji kumbukumbu/nyaraka yaani(diploma in Records,Archi es and Information Management),nina uzoefu wa muda wa mwaka 1 katika fani hiyo,pia nina ujuzi wa kutumia kompyuta,niko teyari kufanya kazi mahali popote,napatikana Dar es salaam.
Naomba msaada wenu wanajamii forum
NB😛ia nina uwezo wa kufanya kazi nyingine inayoendana na fani yangu,mf:Receptionist n.k
Naomba msaada wenu wanajamii forum
NB😛ia nina uwezo wa kufanya kazi nyingine inayoendana na fani yangu,mf:Receptionist n.k