Siku nyingine usiandike hivi hata km una shida kiasi ganiama kazi yoyote ile....
Jinsia gani wewe mwandiko umejaa kama 🌈Nipo dar es salaam, natafuta ajila/kazi ya kuniingizia kipato, nina uzoefu wa kuisimamia restaurant, barman, office assistant (messenger), cashier, ama kazi yoyote ile.... hata ya kiwandani 0679222414
Kweli hii inamsogeza karibu kabisa na kaziUpo sahihi.Pamoja na hayo,usisubiri kupigiwa simu.Nenda geti kwa geti ukiitafuta "AJIRA"!
Kazi za pdf hizo mkuu, ni rahisi kupata faida hiyo ukiwa wewe huifanyi.mzeesam
Mwamba uza pumbu za mbuzi jioni kwenye njia panda au stand ya daladala.
Utanishukuru.
Ukilipwa laki 3 na utumikishwe masaa 13 kwa siku utakuwa fukara zaidi.
Biashara ya pumbu za mbuzi kwa siku hukosi faida ya 40-70
Utaweza kubandika mabango? Bango za wakala kila bango dogo 300 kubwa 500Nipo dar es salaam, natafuta ajira/kazi ya kuniingizia kipato, nina uzoefu wa kuisimamia restaurant, barman, office assistant (messenger), cashier, ama kazi yoyote ile.... hata ya kiwandani 0679222414
unaifanyia wapi nije kujifunza?mzeesam
Mwamba uza pumbu za mbuzi jioni kwenye njia panda au stand ya daladala.
Utanishukuru.
Ukilipwa laki 3 na utumikishwe masaa 13 kwa siku utakuwa fukara zaidi.
Biashara ya pumbu za mbuzi kwa siku hukosi faida ya 40-70
Nounaifanyia wapi nije kujifunza?
Ni wapi hii kazi kuna mtu nimuunganishe mkuu?Utaweza kubandika mabango? Bango za wakala kila bango dogo 300 kubwa 500
DsmNi wapi hii kazi kuna mtu nimuunganishe mkuu?