Natafuta ajira

Hiyo nisawa baba katika utafutaji na shukurupia kwa ushauli wako asante
Ushauri wangu ni huu; hata ukipata sehemu yenye kamshahara kadogo, ka laki na nusu! Nenda kapambane.

Maana ukifanya kazi kwa bidii na weredi, mapato yakiongezeka! Na mshahara wako nao utaongezeka. Siyo lazima sana uanze kazi na mshahara mkubwa.

Uniwie tu radhi kama nilitumia lugha kali.
 
Amna umetumia lugha nzuri tu kama mzazi natumaini kufanya hivyo endapo nitapata kazi
 
mapato yakiongezeka! Na mshahara wako nao utaongezeka.


Hii kauli ni ya kitaalamu sana au niseme ya kisiasa kwa waajiri.

Ni wachache sana wanaoweza kuiishi hii kauli.

Wengine mtaishia kufukuzana na kutafuta mwingine amuambie kauli hiyo hiyo.
 
Njooo nikufundishe forex utanishukuru
 
Ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni kijana wa kiume nimesoma diploma ya procurement and logistic management na bachelor degree ya business management, natafuta ajira nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote
 
Tatizo lenu nyinyi ni kupenda mishahara ya kuanzia laki 2 kwenda juu, huku viofisi vyetu vyenyewe vikiwa bado vinasuasua kujiendesha.

Mwisho wa siku unakuta tunaamua tu kuwaweka ndugu zetu ili tuwalipe viposho tu vya hapa na pale.
Mkuu vijana wa kujitolea tupo tupeane nafasi
 
Karibuni Kalynda e-commerce tutengeneze commission pamoja mtandaoni,, kwa mtaji wa 20,000 mpaka 200,000 kwa wanaoanza utakuwezesha kupata commission yako ya sh.800 mpaka 8,000 kwa siku..Vitendea kazi ni simu yako na bando lako popote ulipo Tanzania...Mwenye uhitaji nicheki WhatsApp 0657940974 nikupe link..mwenye uhitaji wa kujua zaidi tembelea ofc za Kalynda PSSSF Tower 30th floor karibu na TRA HQ maeneo ya Stesheni..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…