Ndio huyo wewe pichani..?Habari zenu ndugu zangu, mimi ni kijana wakike, nina umri 23, elimu yangu ni kidato cha nne, nina diploma ya Secretary, natafuta kati ya kazi hizi zifuatazo.
Secretary
Duka lolote
Reception
Costumer care
wakala wa miamala mbalimbali
Ninauzoefu wa kufanya kazi mbalimbali sehemu tofauti kwa kujitolea, hivyo basi nahitaji kupata ajira kwasasa, nipo vizuri.
Nipo Dar es salaam mbezi (kimara).
Naomba ni PM kwa maelezo zaidi.
Asanteni.
Ha haNdio huyo wewe pichani..?
ndio kazi gani hii?Costumer care
jitusue uingie kichwa kichwa ukakutane na sura ya baba huko π π π πNdio huyo wewe pichani..?
jitusue uingie kichwa kichwa ukakutane na sura ya baba huko π π π π
SawaCheck PM yako.
Ndio ni mimiNdio huyo wewe pichani..?
Nimimi huyojitusue uingie kichwa kichwa ukakutane na sura ya baba huko π π π π
Sawahttps://www.kalynda-e-commerce.com/#/register/index?code=950943330086
Click link hiyo juu nakuahidi hutojutia!!
Hiyo nisawa baba katika utafutaji na shukurupia kwa ushauli wako asanteTatizo lenu nyinyi ni kupenda mishahara ya kuanzia laki 2 kwenda juu, huku viofisi vyetu vyenyewe vikiwa bado vinasuasua kujiendesha.
Mwisho wa siku unakuta tunaamua tu kuwaweka ndugu zetu ili tuwalipe viposho tu vya hapa na pale.
Bila shaka umeelewandio kazi gani hii?
hapana aunty chu ndio maana nikauliza.Bila shaka umeelewa