Kwa hiyo watz wasenge amaKuna mmoja niliona analishwa kinyesi cha kiarabu achana na like dume lilikuwa linakata mauno mbele ya waarabu
Waarabu mafaller sana.Kwa hiyo watz wasenge ama
Dada nakushauri baki hapa hapa au nenda sehemu yoyote ila iwe ni Africa our motherland, huko unakotaka ni makatiri mpaka shetani anaogopa binafsi nikiona Dada zangu mnapanda chopa kwenda huko moyo wangu unakuwa mweusi nakosa Amani kabisaHabari,
Mimi naomba kama kuna mtu humu anaweza kupata nafasi za kazi nchi za uarabuni natafuta hizo nafasi
Mm ni mwanaumeDada nakushauri baki hapa hapa au nenda sehemu yoyote ila iwe ni Africa our motherland, huko unakotaka ni makatiri mpaka shetani anaogopa binafsi nikiona Dada zangu mnapanda chopa kwenda huko moyo wangu unakuwa mweusi nakosa Amani kabisa
TobaaMm ni mwanaume
Kwa Tanzania ipi inaweza kumlipa mdada wa kazi salary ya laki tano??Kwanini usiwe hausigelo tu hapa hapa nchi ya Amani,ukatafuta mtu mwenye kauchumi kalikosimama akakulipa tu vizuri kuliko kwenda huko ukanyanyaswe!!!!
Wewe ni Mwanaume profile pic umeweka ya mwanamke, unatafuta kazi na husemi kazi gani,Mm ni mwanaume
Man downTobaa
Huyo mwenye kauchumi kalikosimama na analipa vizuri ndio shida kumpata.Kwanini usiwe hausigelo tu hapa hapa nchi ya Amani,ukatafuta mtu mwenye kauchumi kalikosimama akakulipa tu vizuri kuliko kwenda huko ukanyanyaswe!!!!
Watu wanaongea vitu mpaka unawashangaa wako kwenye sayari gani. Sijui ni kushiba sana au hawa ni wale wa kulelewa kwa Kaka au Mjomba??Kwa Tanzania ipi inaweza kumlipa mdada wa kazi salary ya laki tano??
Akatafutie wapi huyo mwenye uchumi wa kusimama zaidi tu akaangukie kwa hao hao waarabu koko wampe laki moja lakini kamasi zimtoke.
Labda alikua hajui mishahara ya wadada wa kazi huko Arabuni akadhani wanalipwa elfu 40 kama wanavyowalipa wao na masimango juu,Watu wanaongea vitu mpaka unawashangaa wako kwenye sayari gani. Sijui ni kushiba sana au hawa ni wale wa kulelewa kwa Kaka au Mjomba??
Nimemshangaa sana.
Rahili delicious, soko lenu huko uarabuni uhakika.Mm ni mwanaume
Nina mifano ya wanawake watatu( sio stori za kuambiwa) jirani zangu ktk nyakati tofauti wameenda Oman kila mmoja aliporudi alinunua kiwanja na kujenga nyumba na ada za watoto. Mmoja wao niliongea naye mwaka jana wakati wa Corona Safari zilizuiwa akitaka kurudi alikuwa ana sikitika sana kwani ana watoto wanasoma Private schools anawalipia ada kwa kazi hiyo hiyo.Labda alikua hajui mishahara ya wadada wa kazi huko Arabuni akadhani wanalipwa elfu 40 kama wanavyowalipa wao na masimango juu,
Juzi tu Mtu kaanzisha uzi sijui alimpa nguo nzuri mdada wa kazi lakini haithamini anaivaa kila siku, hapo unajiuliza kama nguo imeanzishiwa uzi je maisha ya kila siku kama chakula, malazi na matibabu huyo mdada si anakoma.