Natafuta Ajira Yoyote

Natafuta Ajira Yoyote

Desmond Kamala

Senior Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
134
Reaction score
8
Natafuta ajira yoyote ya kufanya kwa mda wa ziada..naongea kiingereza vizuri,nina ujuzi wa computer,pia naweza kufundisha mathematics,geography na physics..nasoma chuo cha usafirishaji kozi ya mechanical engneering..namba zangu 0624055251 na 0757569232
 
Ungekua umemalza chuo na umefaulu hesabu na kiingereza ata o levo nngekusahaur ujarbu sehem
 
Natafuta ajira yoyote ya kufanya kwa mda wa ziada..naongea kiingereza vizuri,nina ujuzi wa computer,pia naweza kufundisha mathematics,geography na physics..nasoma chuo cha usafirishaji kozi ya mechanical engneering..namba zangu 0624055251 na 0757569232
Ajira yoyote?unaweza kulima?
 
Mm natafuta kijana wa kuchunga mbuzi na kondoo. Mshahara 20,000 kwa mwez. Kama unaweza njoo inbox.
 
Mechanical NIT lelemama nini mkuu??

Utasoma saa ngapi au ndio unaanza chuo??

Anyway
Kila watu na uwezo tofaut hata pale COET Kuna jamaa zilikuwa zinakomaa kwotekwote

Kila kher kjn
 
Jiajili hata kuzibua vyoo nayo ni kaz nzuri kikubwa ni kuieshimu kaz yko yu
 
mechanical imekua simple kiasi hiki?!
watu walikua wanapiga msuli mzito pale CoET ila wakadisko wewe unataka na kazi??!
una pepo la kudisko linakunyemelea mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom