Natafuta Ajira yoyote ile

Natafuta Ajira yoyote ile

Icloud5s

New Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Habarini za sasa wakuu. Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 nimemaliza shahada yangu udsm katika fani ya kilimo, mali asili, uchumi na biashara mwaka huu. Nimekuja kwenu kuomba msaada wa yoyote atakae kuwa na connection au sehemu nayoweza kujishika kwa muda anisaidie

Sifa zangu

>Ninaelimu ya kuendeleza biashara haswa ya kilimo ila kwa sasa yoyote naweza fanya

>nina ufahamu mzuri wa Microsoft package zote, quick books na Tally

> ufahamu wa SPPS na STATA kwa ukusanyaji wa takwimu

>Customer care support pia nina uzoefu nao
Ikiambatana na elimu ya masoko na mauzo

>uwezo wa kufindisha na kutrain vikundi mbali mbali juu ya biashara na mauzo

>Utafiti katika mitandao (online research) na utafiti wa aina yoyote naweza fanya

Izo ni baadhi ya sifa zangu ila naweza kufanya mengi tofauti na hayo niliyo oredhesha al muhimu ni kupata sehemu ya kujishika kwa muda ili niweze kujipanga vizuri

NOTE Ndoto zangu ni kuwa mjasiriamali ivyo nahitaji sehemu ya kuanzia tu kisha ntaendelea mwenye

Kwa kazi yoyote ya halali niko tayari wakuu napatikana Dar es Salaam

Ahsante sana
 
Hello Naitwa Steven Audax ni
Business consultant/ public speaker /Entrepreneur
Nitafte kwa Namba 0752085869
 
Back
Top Bottom