Natafuta ajira yoyote halali isipokua bar

Natafuta ajira yoyote halali isipokua bar

idda04

Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
8
Reaction score
1
Elimu yangu Diploma Rasilimali Watu, sina uzoefu wowote katika nilichosomea Bali niliwahi kufanya kazi ya sales katika supermarket kadhaa.

Nipo mkoa wa Kilimanjaro, ni msichana, umri wangu 25, no yangu 0756854607.
 
umesoma chuo gani ndugu mbona gv. Mara nying wanaajiri hr na hata mda huu website ya utumishi kuna nafasi zenu
 
Ijumaa hii ya leo mimi nakuombea dua upate kazi nzuri na ufurahie maisha yako,

Ikitokea sehemu kama unahitajika nitakutafuta,,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom