Natafuta ajira ya ujenzi wa majengo

Joined
Mar 26, 2023
Posts
7
Reaction score
2
Mimi nina ujuzi wa ufundi ujenzi nimesoma Veta kwa miaka mitatu, nimefanya kazi mtaani kwa muda wa zaidi ya miaka mitano kwahiyo nina uzoefu. Nasoma ramani, nachora ramani za majengo na pia nadesign ramani za majengo, natafuta ajira iwe kwenye taasisi au mtu binafsi πŸ™ πŸ™
 
Almashauli ya manuspal ya kinondoni dar es salaam imetoa nafasi izo iv karibuni
Ivyo temberea tovuti ya ajira portal kwa maelezo zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…