chandeka marwa
Member
- Mar 26, 2023
- 7
- 2
Mimi nina ujuzi wa ufundi ujenzi nimesoma Veta kwa miaka mitatu, nimefanya kazi mtaani kwa muda wa zaidi ya miaka mitano kwahiyo nina uzoefu. Nasoma ramani, nachora ramani za majengo na pia nadesign ramani za majengo, natafuta ajira iwe kwenye taasisi au mtu binafsi 🙏 🙏