Natafuta ajira ya salon ya kike

Joined
Sep 23, 2019
Posts
20
Reaction score
2
Nahitajia kazi ya salon ya kike popote hata mikoani. Nina ujuzi wa urembo wa nywele toka VTC MIKUMI, nafanya kazi zote za beauty salon.

Jinsia me, umri miaka 28 mwenye uhitaji anicheki kupitia namba 0743 482 722 nipo Dar.
 
Matangazo kama haya yanatakiwa yasikose picha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…