Natafuta ajira ya Human resource

muguti

Member
May 12, 2016
9
0
Habari wadau. mimi nimehitimu degree ya human resource management.

Natafuta kazi ndugu zanguni. kwa mawasiliano ni 0754505914. asanteni sana na nina imani mtanisaidia kwa hilo
 
Habari wadau. mimi nimehitimu degree ya human resource management.

Natafuta kazi ndugu zanguni. kwa mawasiliano ni 0754505914. asanteni sana na nina imani mtanisaidia kwa hilo
Kasome Postgraduate diploma ya Education then fanya Ualimu kwa mda then utafanyiwa recategaorization
ila pia omba sana Mungu
 
ninafanya kazi kampuni yenye wafanyakazi zaidi ya 500.. ila dept ya human resource ina watu wanne tu...

na kazi zinaenda vizuri hawazidiwi majukumu...

hiyo kozi kupata ajira ni bahati tu maana graduates ni wengi kuliko mahitaji ya waajiiri...

unaweza kuta vodacom yote ile au airtel nchi nzima staff kibao... ila h.r dept ni watu watatu tu
 
Tusikariri watu wanahama, kufa, wanastaafu kazi kazi. Hivyo dogo usikatee tamaa utapata kazi tu.! Kwa kuanzia anza na kazi yeyote kama WEO, DO zinapotangazwa na Tume ya ajira
 
Pole sana. Kazana kwenye maisha kuna vikwazo na yote magumu naamini kila mtu ana riziki yake uckate tamaa. Utapata tu mbonaaa
 
Back
Top Bottom