wanajukwaa mimi elimu yangu ni certificate natafta kaz ya usimamizi wa kumbukumbu au records management niko tayar kufanya sehem yeyote naombeni msaada wenu asante.
kwa nini usiende kulima,kwan ni lazima kila mmoja aajiliwe,kajiajir mkuu kwenye kilimo,niPM nikusaidie kupata incentive za kilimo ambazo zinaweza kukusaidia kulima hata kiangaz

mkuu pole ila hayo mambo alafu tena certificate daaa,,, kama unaipenda hiyo kazo basi anza kuulizia kwenye mashule hata za serikali zinahitaji sana watu wa masijala.
wanajukwaa mimi elimu yangu ni certificate natafta kaz ya usimamizi wa kumbukumbu au records management niko tayar kufanya sehem yeyote naombeni msaada wenu asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.