Natafuta ajira, nina Diploma ya Logistics

Natafuta ajira, nina Diploma ya Logistics

Isyaaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
274
Reaction score
62
Habari wakuu,
Elimu yangu ni diploma of Logistics and transport management, nimemaliza chuo 2013
Naomba kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata kazi/kibarua chochote, anipm kazi yeyote niko tayar kufanya.
Natanguliza shukraan
 
Natafuta binti wa kunilindia nyumba mchana niwapo kazini.. Na kufanya usafi kama upo poa ni PM
 
Natafuta kazi ya tour guide either walking safari, haiking and driving elimu yangu certificate in wildlife tourism at college of African wildlife management, class c license naishi ngorongoro mkoa wa Arusha mamba yangu 0782246040/0655246040 email johnkitamwa@ yahoo.com thank you
 
kuanzisha uzi wako umeshindwa?
 
Back
Top Bottom