Natafuta ajira, nina Diploma ya Community Development

Natafuta ajira, nina Diploma ya Community Development

HDS

Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
45
Reaction score
3
Husika na mada hapo juu, nina diploma ya community development nilimaliza chuo cha Rungemba Iringa mwaka 2011 naishi Dar es salaam naomba msaada tafadhali hata kwa kuvolunteer niko tayari.
 
Ni vema kujifunza Pia mbinu za kujiajiri na kuona Fursa zilizopo. Ni wakati wa vijana kubadili mtazamo sasa tuache kutegemea kuajiriwa. Kwa ushauri pitia tovuti mbalimbali zenye matangazo na uombe
 
Back
Top Bottom