Ulifanikiwa?Habari naitwa Doris Gabriel naujuzi Wa front office natafuta Kazi za front office nime deal Na customer care, telephone operating system, receptionist.
Nimefanya field Serena hotel, Dodoma hotel nikafanya training Strategis insuarance.
Kama watanzania wenzangu, mnisaidie nipate Ajira nami nijikimu pia sio lazima nifanye nilichosomea ikitokea Ajira nyingine nipo tayari kufanya
Mmh, pole Aisee. Uko wapi?
Iko hivi hotel za posta masaki sijui kunduchi usiangalie ustar wa hotel sijui nyota tano sijui nyota ngapi azia kitafuta kariakoo toka anangalia na sehemu zingne usitafute kaz ya hotel kwa ustar wa hotel au nyota unafanya kaz kwa uhuru akuna gadhabu tofauti na mahotel makubwa nishidaah sana yaani asikuambie mtu azia kariakoo yapo mahotel kibao kisha angalia na sehemu zingne ila kupigia mahesabu mahotel ya posta sijui masak kunduchi uko utasota my dearHabari naitwa Doris Gabriel naujuzi Wa front office natafuta Kazi za front office nime deal Na customer care, telephone operating system, receptionist.
Nimefanya field Serena hotel, Dodoma hotel nikafanya training Strategis insuarance.
Kama watanzania wenzangu, mnisaidie nipate Ajira nami nijikimu pia sio lazima nifanye nilichosomea ikitokea Ajira nyingine nipo tayari kufanya
Mrs S. Maneno yako yamenifumbua macho hakika nikweli ngoja nianze manzese,Ubungo,Kariakoo Mungu ajalieIko hivi hotel za posta masaki sijui kunduchi usiangalie ustar wa hotel sijui nyota tano sijui nyota ngapi azia kitafuta kariakoo toka anangalia na sehemu zingne usitafute kaz ya hotel kwa ustar wa hotel au nyota unafanya kaz kwa uhuru akuna gadhabu tofauti na mahotel makubwa nishidaah sana yaani asikuambie mtu azia kariakoo yapo mahotel kibao kisha angalia na sehemu zingne ila kupigia mahesabu mahotel ya posta sijui masak kunduchi uko utasota my dear
Sent using Jamii Forums mobile app