boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,321 Reaction score 319 Apr 1, 2012 #1 Jamani nisaidie napata shida sikuhizi siwezi ku-download wala ku-play kitu kwenye internet napata message ya ku-upgrade, nisaidie ya bure kama niliyokuwa nayo zamani ambayo sasa haifanyi kazi
Jamani nisaidie napata shida sikuhizi siwezi ku-download wala ku-play kitu kwenye internet napata message ya ku-upgrade, nisaidie ya bure kama niliyokuwa nayo zamani ambayo sasa haifanyi kazi
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,701 Reaction score 2,613 Apr 1, 2012 #2 Adobe - Install Adobe Flash Player
xhuma Member Joined Aug 22, 2010 Posts 36 Reaction score 5 Apr 1, 2012 #3 Kang said: Adobe - Install Adobe Flash Player Click to expand... kwa kumuongezea ndugu yangu Adobe Flash Player ni bure siku zote! hiyo link uliyopewa na Kang ndio njia nzuri!
Kang said: Adobe - Install Adobe Flash Player Click to expand... kwa kumuongezea ndugu yangu Adobe Flash Player ni bure siku zote! hiyo link uliyopewa na Kang ndio njia nzuri!