Salama wana kama kinanyo sema kichwa cha habari hapo juu naweza kupata
Adobe CS4 Master Collection au nikapata nusu nusu pia itakuwa poa sana sana nahitaji
adobe illustrator na adobe premiere pro zote ziwe cs4 na kingine mashine gani inafaa kwenye graphic design iwe laptop au desktop natanguliza shukrani zangu kwenu
cc
Chief-Mkwawa na wengine