Fazz JF-Expert Member Joined Mar 14, 2019 Posts 635 Reaction score 1,456 Sep 30, 2022 #1 Habari, Nahitaji account kwa mwenye nayo ya huduma za usafiri kwa hapa DSM. Nipo na bajaji nataka nijiunge na hiyo mitandao kwa mwenye nayo PM tuyajenge.
Habari, Nahitaji account kwa mwenye nayo ya huduma za usafiri kwa hapa DSM. Nipo na bajaji nataka nijiunge na hiyo mitandao kwa mwenye nayo PM tuyajenge.
desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,788 Reaction score 6,073 Sep 30, 2022 #2 Vipi Bajaj ndugu kwa Dar zinalipa
Fazz JF-Expert Member Joined Mar 14, 2019 Posts 635 Reaction score 1,456 Sep 30, 2022 Thread starter #3 desayi said: Vipi Bajaj ndugu kwa Dar zinalipa Click to expand... Juhud Zako tu boss
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,877 Oct 1, 2022 #4 Ngoja waje kukupa muongozo...
R Robby333 Member Joined Apr 11, 2020 Posts 58 Reaction score 39 May 18, 2023 #5 Habari zenu! Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi. Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu kwa siku. Nina uzoefu pamoja na uaminifu wa hali juu. Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA) Namba: 0674074563 Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa Dar es Salaam. Nipo Temeke Dar es Salaam
Habari zenu! Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi. Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu kwa siku. Nina uzoefu pamoja na uaminifu wa hali juu. Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA) Namba: 0674074563 Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa Dar es Salaam. Nipo Temeke Dar es Salaam
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 17,572 Reaction score 27,395 May 18, 2023 #6 Ingawa sijui Jibu la Swali lako, kwahio samahani kama taonekana mpuuzi..., Hivi wanaotoa hizi Akaunti / Ukitaka kujiunga; si unawasiliana na hao hao Uber na Bolt ? Au na hapa kuna Udalali / Ujanja Ujanja ?
Ingawa sijui Jibu la Swali lako, kwahio samahani kama taonekana mpuuzi..., Hivi wanaotoa hizi Akaunti / Ukitaka kujiunga; si unawasiliana na hao hao Uber na Bolt ? Au na hapa kuna Udalali / Ujanja Ujanja ?