Natafuta Account ya Bolt

Natafuta Account ya Bolt

mocran

Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
45
Reaction score
8
Habari zenu wakubwa kama heading inavyoelezea hapo nahitaji mtu mwenye account ya bolt ya gari ambae haitumii kama atakua tayari kuniuzia anichek inbox tuyajenge
 
Hivi mfano ...ikitokea umesababisha majanga iwe kwa kukusudia ama kutokukusudia hauta mtia mwenye akaunti matatizoni?

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Mtafute yule jamaa alokuwa anajisifia kupiga mamilion kwenye Uber humu jf hadi akawa tajiri,jina lake limenitoka🤣
 
Habari zenu wakubwa kama heading inavyoelezea hapo nahitaji mtu mwenye account ya bolt ya gari ambae haitumii kama atakua tayari kuniuzia anichek inbox tuyajenge
Njo tufanye biashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom