baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 1,778
- 2,052
Wadau, natafuta ABS Actuator/Brake Booster ya Toyota Brevis
Shida ya gari yangu:
Pampu haishiki presha (inajiwasha kila sekunde 10-15).
Nikikanyaga breki mfululizo, taa za breki na Alarm zinalia na breki inakuwa ngumu gafla,
Inatoa sauti ya upepo (fuuuu) chini ya mguu ukikanyaga breki.
Nimeshanunua pampu nyingine ya mtumba ikawa mbovu pia, hivyo nahitaji umakini mkubwa. Natafuta spea ya uhakika (Japanese Used) ambayo imefanyiwa majaribio
Sharti: Muuzaji awe tayari niifunge na kuipima kwa Scanner kabla ya malipo kukamilika.
Kama unayo ya uhakika, tafadhali niwekee namba hapa au nicheki PM
Asanteni.