MARCO JOHN
Member
- Jun 1, 2012
- 96
- 35
Mmnmmmmmh hata wachuo, mtaani, kanisan kwenye daladala umekosa jaman mmmh ila pole utapata
Mke mwema anapatikana sehemu yoyote hata hapa jf wapo..... kama upo single changamkia fulsa hiyo huenda ndiyo akawa mme bora kwako.Mmnmmmmmh hata wachuo, mtaani, kanisan kwenye daladala umekosa jaman mmmh ila pole utapata
Mmnmmmmmh hata wachuo, mtaani, kanisan kwenye daladala umekosa jaman mmmh ila pole utapata
Heshima kwenu wanajamvi,
Labda nianze kwa kusema yamenifika hapaa! Mimi ni graduate wa moja ya business related courses katika moja ya vyuo hapa nchini.Nimewahi kuwa na girlfriend wakati wangu wa chuo ila Drama zilinishinda and i decided to be single and the plan was successful.
Ila sasa nahisi ni muda mwafaka wa kuwa na a serious person to investigate and prepare her to be a good wife siku za mbeleni.Am now asking any body
Who is ready for it hapa jamvini ani PM tuyazungumze
Sifa zangu;
- Mrefu more than 6ft
- Average body
- Cool
- I also would advice the girl to be mrefu kiasi
Asanteni sana
Ila atume pic kwanza ;iv nimesahau kitambi kipoooo??
AGNES AMEKUULIZA POCHI IMETUNA LAKINI? USITEGEMEE BARABARA IWE KAMA SONI to MOMBO...Mteremko tu!!
Hata mie nimeona ngoja nimtafute