natafuta a powerful laptop

natafuta a powerful laptop

utukufu

Member
Joined
May 31, 2011
Posts
34
Reaction score
20
wadau salama?
kama kichwa cha habari kisemavyo, im looking for a powerful laptop, preferably apple, au sony vaio... hardisk kuanzia 500 gb, ram up to 8gb, processor ya core i7, na graphics nzuri,,,, iwe na lighting kwenye buttons, na prefarably screen size ya 15 inches na kuendelea.full size keyboard will be an additional advantage. msaada wakuu,,, kazi zangu zinahusisha heavy videos mixing, ndo mana nahitaji a powerful one.
my contacts are 0717 - 321336 or 0758 - 502135. feel fre to call or text.

thanks wakuu.
 
Vizuri jombaa kwa uzoefu wangu..desktop yenye specifications hizo ndo zitakufaa kwa kazi yako laptops sio kwere kivile bt ni ushauri tu
 
i expect mwenye mali zenye sifa hizo hapo juu ndo atakua na bei ya mzigo,,,my budget is private since nimeshataja specs nnazotaka,,, soo i expect iwe kama tender process flani,, kila anaekuja aseme anaweza kussuply mzigo kwa kiasi gani cha fedha, n ill choose the best offer
budget yako?
 
i expect mwenye mali zenye sifa hizo hapo juu ndo atakua na bei ya mzigo,,,my budget is private since nimeshataja specs nnazotaka,,, soo i expect iwe kama tender process flani,, kila anaekuja aseme anaweza kussuply mzigo kwa kiasi gani cha fedha, n ill choose the best offer

mkuu hata kwenye tender wanna andika budget yao ina range wapi. mi nina alienware m17x ina..
Intel Core i7-2960XM 2.7 GHz
12 GB RAM
AMD Radeon HD 6990M
AMD Radeon HD 6990M (video card mbili)
1 TB HDD
Blu Ray Drive
Backlight keys ambayo unaweza badilisha rangi
black in color...

asking price ni 2,500 $ (au 4million hela za kibongo)

hii hapa sio just a powerful laptop, its the most powerful laptop bongo nzima. ni PM kama unaweza fika bei






 
Dell E6520 HD 500, intel core, 8GB processor, docking station ( business unit) keyboard with the number key, 17" screen. Asking price 3000USD. Brand new with 2 years warranty from manufacture. PM if you want any computer.
 
Back
Top Bottom