Jamani napanda ukujukwaani kutoa hitaji langu.nina tv yangu lg 3d lakin ninauhaba wa movie za 3d sina ata moja kila nikienda wanapouza movie hiz za kubarni awana nimezunguka sana naomba kwa anayejua zinapopatikana anijulishe niko ARUSHA

kama sio za battery movie za kawaida tu za 3d zitakubali,
kwa kutest nenda youtube halafu search kitu chochote mfano neno video search halafu majibu yakija click filter then chagua 3d zitakuja result za video zenye 3d click hizo video then kwa chini hakikisha umeclick kile ki gear na kuchagua 3d halafu vaa miwani test