Natafuta apartments 2 za kupangisha kuanzia mid December 2009 mpaka mid January 2010. Apartments hizo ziwe karibu na maeneo ya mjini, ziwe na fence na sehemu ya kutosha ya ku park magari. Huduma zingine kama maji, umeme ni muhimu pia. Naomba unitumie PM kama unaweza kunisaidia. Natanguliza shukrani.
sasa kama umeshamtumia PM, mbona unaropoka tena hapa uwanjani, au ulikuwa unataka kutupa msg kuwa unaapartmentsNimekutumia PM mkuu
sasa kama umeshamtumia PM, mbona unaropoka tena hapa uwanjani, au ulikuwa unataka kutupa msg kuwa unaapartments
Kituko sijaona tatizo la huyu mkubwa,Wapendwa tujaribuni kuwa makini na tunayoandika,kwani badala ya kutufanya tuwe wamoja maneno yetu yatatusambalatisha,Nawakilisha!!!sasa kama umeshamtumia PM, mbona unaropoka tena hapa uwanjani, au ulikuwa unataka kutupa msg kuwa unaapartments
sasa kama umeshamtumia PM, mbona unaropoka tena hapa uwanjani, au ulikuwa unataka kutupa msg kuwa unaapartments
Asante Mkuu. Nitafuatilia ushauri wako.Kuna apartment nzuri sana huko Dar hususan kama unataka kukaa kwa muda mfupi. Nenda pale Ramada aprtment zipo eneo la Ilala karibu na Msimbazi mission. Njia ya kuelekea magomeni.
Ni pazuri sana kuna apartment za vyumba viwili na nyingine vitatu. ndani kuna kila kitu.Ni pazuri ukiwa vacation huko Bongo na familia au hata marafiki