Natafuata mwenye mapenzi ya dhati

Milale

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
494
Reaction score
189
Mimi ni mvulana mwenye umri wa 26ys. Naishi Dar natafuta mwanamke wa kuishi nae awe mkweli na mwaminifu, kabila lolote, dini yoyote. Vigezo na masharti vitazingatiwa.

Karbu PM kwa maelezo zaidi.
 
You must be serious! Kwa ujumbe huu kama ulivyo haupo serious, ndoa haijaribiwi !
 
Mimi ni mvulana mwenye umri wa 26ys. Naish dar natafuta mwanamke wa kuish nae awe mkweli na mwaminifu, kabila lolote, dini yoyote. Vigezo na masharti vitazingatiw. Karbu PM kwa maelezo zaidi
Nimefanya usaili kwa waliokuja PM. Ila nasikitika kutangaza kwamba hakuna aliyekidhi vigezo. Maana nilisema vigezo n mashrti kuzingatiwa. Nashukr kwa ushirikiano wenu mliouonyesha. Naombeni msinipm tena maana milango imefungwa.
 
Unafunga milango wakati bado hujapata.
 
Muda niliouweka umepita
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…