Nasumbuliwa na clonic aestroarthretiis

Nasumbuliwa na clonic aestroarthretiis

NITIKE NDOSI

Senior Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
153
Reaction score
86
Jamani naombà msaada wa tiba ya huu ugonjwa kwani maumivi take niakali hata antipain zimenigomea. Huwa inamisumbua kwemye femar pamoja na paja na goti . kila Sawa nikitumia maumivu uayakati na uvimbe pia.

Hospitali walisema Nina tatizo la Clinic asteoarthritis
 
Jamani naombà. Msaada Wa Tiba ya huu ugonjwa kwani maumivi take niakali hata antipain zimenigomea. Huwa inamisumbua kwemye femar pamoja na paja na goti . kila Sawa nikitumia maumivu uayakati na uvimbe pia. Hospitality walisema Nina tatizo la Clinic asteoarthritis
Pole Mkuu
 
Mkuu Pole kwa maradhi yako unayo umwa lakini sio jina hilo ni jina hili (osteoarthritis) Osteoarthritis (OA) is a type of joint disease that results from breakdown of joint cartilage and underlying bone. The most common symptoms are joint pain and stiffness. Usually the symptoms progress slowly over years. Initially they may occur only after exercise but can become constant over time. Hakuna kweli Tiba za Hospitali zenye kuweza kutibu hayo maradhi sugu ya Viungo vya mwili. Kwa Dawa za Asili zipo na unaweza kutibiwa na ukapona maradhi yako.

OSTEOARTRITIS OF THE KNEE.jpg
 
View attachment 1676456
Hizo hospitaly ziko wapi mkuu? Na gharama zake zipoje? Mi niko Morogogoro
 
MIFUPA YA BINADAMU.jpg

Nimekwambia huu Ugonjwa hakuna dawa za Hospitali ukatibiwa na ukaweza kupona hata kama utatumia kwa muda wa mwaka mzima dawa za hospitali haziwezi kukuponyesha maradhi yako.
Can early osteoarthritis be cured?
There's no cure for osteoarthritis, but the condition does not necessarily get any worse over time. There are a number of treatments to help relieve the symptoms. The main treatments for the symptoms of osteoarthritis include: lifestyle measures – such as maintaining a healthy weight and exercising regularly.
Kama unajuwa kiingereza soma hapo juu wanasema hakuna dawa ya kuponyesha hayo maradhi aka dawa za hospitali haziponyeshi hayo ni Maradhi sugu yasiyo sikia dawa. Kwa Dawa za Asili nikikutibia unaweza kupona maradhi yako nitafute kwa wakati wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom