Nasubiri tu msimamo wa Maalimu Seif aidha nirudi nyumbani ama nitokomee kabisa

kambagasa

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
2,241
1,749
Nilizaliwa Zanzibar (Kidimni) wazazi wangu wakiwa wenyeji wa bara Geita. Baadae nilikuja kusoma bara na kuhitimu shule ya Secondary Geita. Wazazi wangu waliamua kurudi walikozaliwa (bara Geita). Kila mara nikiwa huku bara nilitamani siku moja nifike nilikozaliwa ndipo nikakusanya nauli mwaka 2004 nikaenda Zanzibar kuzuru eneo nilikozaliwa!

(Kidimni). Nilipofika likaniijia wazo la kupata cheti changu cha kuzaliwa ofisi ya Mkuu wa wilaya Dunga ndipo nikafuata taratibu zote na nikakabidhiwa. Baada ya huu uchaguzi na kama nilivyokuwa namuomba mungu siku moja Seifu awe raisi ndipo naweza kuhamia kabisa Zanzibar.

Dalili nizionazo ni kubwa sana Maalimu kuongoza Zanzibar pamoja na mizegwe inatengenezwa kwa ufundi wa hali ya juu na viongozi wa bara ili Sheini aendelee kuongoza. Endapo hili halitafanikiwa ni bora nizamie nchi zingine hadi pale Zanzibar na Tanzania bara zitakapokombolewa kutoka mikononi mwa CCM.
 
Attachments

  • 1446712703611.jpg
    1446712703611.jpg
    52 KB · Views: 977
CCM wamebanwa kila upande, jumuiya zote za kimataifa zishawaeleza CCM as far as waangalizi wote wa ndani ya nchi na nje wametoa taarifa ya kuwa uchaguzi wa Zanzibar umeenda vizuri, sasa kama CCM watang'ang'aniza kuwa uchaguzi huo urudiwe tafsiri yake ni kuwa Urais wa Magufuli nao siyo halali kwa kuwa wapiga kura waliopiga kura za Rais wa Zanzibar, ndiyo hao hao kwa wakati huo huo na sehemu hiyo hiyo moja walipiga kura ya Rais wa Tanzania.
Ikiwa CCM watajitia upofu na uziwi wa kutoliona hilo, Dunia itaiona nchi hii inaendeshwa na utawala wa 'mangumashi' wa kupitiliza.
 
Fuata ile kitu roho yako inapenda... wewe ni mzanzibara
 
zungumzia la Maalimu kujitangazia ushindi, kura za pemba hazikubaliani, zimefutwafutwa~
 
Nilizaliwa Zanzibar (Kidimni) wazazi wangu wakiwa wenyeji wa bara Geita. Baadae nilikuja kusoma bara na kuhitimu shule ya Secondary Geita. Wazazi wangu waliamua kurudi walikozaliwa (bara Geita). Kila mara nikiwa huku bara nilitamani siku moja nifike nilikozaliwa ndipo nikakusanya nauli mwaka 2004 nikaenda Zanzibar kuzuru eneo nilikozaliwa!

(Kidimni). Nilipofika likaniijia wazo la kupata cheti changu cha kuzaliwa ofisi ya Mkuu wa wilaya Dunga ndipo nikafuata taratibu zote na nikakabidhiwa. Baada ya huu uchaguzi na kama nilivyokuwa namuomba mungu siku moja Seifu awe raisi ndipo naweza kuhamia kabisa Zanzibar.

Dalili nizionazo ni kubwa sana Maalimu kuongoza Zanzibar pamoja na mizegwe inatengenezwa kwa ufundi wa hali ya juu na viongozi wa bara ili Sheini aendelee kuongoza. Endapo hili halitafanikiwa ni bora nizamie nchi zingine hadi pale Zanzibar na Tanzania bara zitakapokombolewa kutoka mikononi mwa CCM.

Njoo kamanda tuikomboe Zanzibar. Ni mimi na wewe ndio tutaikomboa Zanzibar chini ya Mafashisti CCM. Kwa hilo wala tusimsubiri Seif. Home is where your heart is!
 
CCM wamebanwa kila upande, jumuiya zote za kimataifa zishawaeleza CCM as far as waangalizi wote wa ndani ya nchi na nje wametoa taarifa ya kuwa uchaguzi wa Zanzibar umeenda vizuri, sasa kama CCM watang'ang'aniza kuwa uchaguzi huo urudiwe tafsiri yake ni kuwa Urais wa Magufuli nao siyo halali kwa kuwa wapiga kura waliopiga kura za Rais wa Zanzibar, ndiyo hao hao kwa wakati huo huo na sehemu hiyo hiyo moja walipiga kura ya Rais wa Tanzania.
Ikiwa CCM watajitia upofu na uziwi wa kutoliona hilo, Dunia itaiona nchi hii inaendeshwa na utawala wa 'mangumashi' wa kupitiliza.

Hata mimi naamini hawana ujanja. Mhimu Seifu asikubali kurudia uchaguzi.
 
Waliingia Ikulu kina Mbowe na jopo zima la Viongozi wa Ukawa wakiqa na jazba na Hoja zimejaa mikoba wakatoka wamelainika na wakarejea bungeni itakuw huyo Maalim aliee da peke yakw bila hata ya rough paper? Jk ana kipaji sana cha Conversation ya hali ya juu mtu kama Dr.Slaa na U serious wake wote alitoka Ikulu mikono kaikunja kwa nyuma kichwa kainamisha.
 
Hapo Dr. Slaa alikuwa bado kula mihogo sio?
 
zungumzia la Maalimu kujitangazia ushindi, kura za pemba hazikubaliani, zimefutwafutwa~
usiwe kama Zuzu,kama amejitangazia ushindi hiyo ni kesi ya jinai,faini laki tano au kifungo cha miaka mitano jela,sharif hakujitangazia ushindi,bali ZEC ndiyo ilitangaza matokeo kwa kubandikwe nje kwenye kuta ili wapiga kura wayaone,hivyo haikuwa siri tena,kama ni kosa amepelekwa mahakama gani?Taifa litachelewe kusonga mbele kwa kuwa na watu wanaofikilia kwa kutumia pua kama wewe!
 
Waliingia Ikulu kina Mbowe na jopo zima la Viongozi wa Ukawa wakiqa na jazba na Hoja zimejaa mikoba wakatoka wamelainika na wakarejea bungeni itakuw huyo Maalim aliee da peke yakw bila hata ya rough paper? Jk ana kipaji sana cha Conversation ya hali ya juu mtu kama Dr.Slaa na U serious wake wote alitoka Ikulu mikono kaikunja kwa nyuma kichwa kainamisha.
uyo SEIF Sharif Hamad unaemsema hapo UNAMJUA na misimamo yake unaijua lakini ?unamfananishaje huyu gwiji la siasa na slaa.huyo sio mpiga dili ni mwanasiasa hasa.TULIAAAAA NGOMA INOGILE
 
Back
Top Bottom