Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Oct 29, 2011 #1 jamani eh,we kama ni aseno na yanga fanya chap chap tukutane hapa mfaranyaki tufurahi, tusherekee,tugalagale. Ps: mi niko na mama Kayai kwa hiyo Bebii usije.
jamani eh,we kama ni aseno na yanga fanya chap chap tukutane hapa mfaranyaki tufurahi, tusherekee,tugalagale. Ps: mi niko na mama Kayai kwa hiyo Bebii usije.
the grate JF-Expert Member Joined Sep 24, 2011 Posts 204 Reaction score 36 Oct 29, 2011 #2 me simba jamani....inauuuumaaa!
kipindupindu JF-Expert Member Joined Dec 16, 2010 Posts 1,054 Reaction score 170 Oct 29, 2011 #3 mi nipo simba kapakatwa pub!
jouneGwalu JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,687 Reaction score 1,782 Oct 29, 2011 #4 Hahahahaha pamoja B... Huku kwa moromboo ni balaa mbaya kabisa, wamaasai wameleta na nyama ya mnyama kabisa, hahahaha
Hahahahaha pamoja B... Huku kwa moromboo ni balaa mbaya kabisa, wamaasai wameleta na nyama ya mnyama kabisa, hahahaha
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Oct 29, 2011 Thread starter #5 the grate said: me simba jamani....inauuuumaaa! Click to expand... na wife wako ni yanga? Utalijua jiji leo!
the grate said: me simba jamani....inauuuumaaa! Click to expand... na wife wako ni yanga? Utalijua jiji leo!
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,275 Oct 29, 2011 #6 Shem mie Simba naruhusiwa kuja
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Oct 29, 2011 Thread starter #7 kipindupindu said: mi nipo simba kapakatwa pub! Click to expand... ni wapi huko Mkuu? Yaani leo mama Kayai(yanga mwenzangu) nahisi july'12 tutapata mtoto.
kipindupindu said: mi nipo simba kapakatwa pub! Click to expand... ni wapi huko Mkuu? Yaani leo mama Kayai(yanga mwenzangu) nahisi july'12 tutapata mtoto.
kipindupindu JF-Expert Member Joined Dec 16, 2010 Posts 1,054 Reaction score 170 Oct 29, 2011 #8 iko karibia na mitaa ya jangwani
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,275 Oct 29, 2011 #9 Bishanga said: ni wapi huko Mkuu? Yaani leo mama Kayai(yanga mwenzangu) nahisi july'12 tutapata mtoto. Click to expand... He he he he
Bishanga said: ni wapi huko Mkuu? Yaani leo mama Kayai(yanga mwenzangu) nahisi july'12 tutapata mtoto. Click to expand... He he he he
N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 14,430 Reaction score 9,889 Oct 29, 2011 #10 Mi iko hapa masaki karibuni ndovu baridiiiii
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,377 Oct 29, 2011 #11 Kaka naja tuu hata kama Avator yangu ni ya darajani lkn Yanga bwana eti kampakata tena mchumba'ke Siiimba
Kaka naja tuu hata kama Avator yangu ni ya darajani lkn Yanga bwana eti kampakata tena mchumba'ke Siiimba
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Oct 29, 2011 Thread starter #12 Dena Amsi said: Shem mie Simba naruhusiwa kuja Click to expand... kakangu yanga au simba? Wahi lakini usije ukakuta niko chakari nikaharibu.
Dena Amsi said: Shem mie Simba naruhusiwa kuja Click to expand... kakangu yanga au simba? Wahi lakini usije ukakuta niko chakari nikaharibu.
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Oct 29, 2011 Thread starter #13 jouneGwalu said: Hahahahaha pamoja B... Huku kwa moromboo ni balaa mbaya kabisa, wamaasai wameleta na nyama ya mnyama kabisa, hahahaha Click to expand... moromboooo? Mmmmhhh wapi huko mkuu?
jouneGwalu said: Hahahahaha pamoja B... Huku kwa moromboo ni balaa mbaya kabisa, wamaasai wameleta na nyama ya mnyama kabisa, hahahaha Click to expand... moromboooo? Mmmmhhh wapi huko mkuu?
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Oct 29, 2011 Thread starter #14 Dena Amsi said: He he he he Click to expand... chukua kalkuleta uhesabu forty weeks from today itakuwa lini?
Dena Amsi said: He he he he Click to expand... chukua kalkuleta uhesabu forty weeks from today itakuwa lini?
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,275 Oct 29, 2011 #15 Bishanga said: kakangu yanga au simba? Wahi lakini usije ukakuta niko chakari nikaharibu. Click to expand... Ha ha yaani umesahau mlivokuwa mnawekeana dau enzi zile unakaa kwangu ukiwa UDSM?!
Bishanga said: kakangu yanga au simba? Wahi lakini usije ukakuta niko chakari nikaharibu. Click to expand... Ha ha yaani umesahau mlivokuwa mnawekeana dau enzi zile unakaa kwangu ukiwa UDSM?!
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Oct 29, 2011 Thread starter #16 Ninaweza said: Mi iko hapa masaki karibuni ndovu baridiiiii Click to expand... jackies? Msalamie jackie
Ninaweza said: Mi iko hapa masaki karibuni ndovu baridiiiii Click to expand... jackies? Msalamie jackie
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,275 Oct 29, 2011 #17 Bishanga said: chukua kalkuleta uhesabu forty weeks from today itakuwa lini? Click to expand... Haya ngoja nisubiri
Bishanga said: chukua kalkuleta uhesabu forty weeks from today itakuwa lini? Click to expand... Haya ngoja nisubiri
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Oct 29, 2011 Thread starter #18 Chimunguru said: Kaka naja tuu hata kama Avator yangu ni ya darajani lkn Yanga bwana eti kampakata tena mchumba'ke Siiimba Click to expand... sio kumpakata tu,na ka mimba kadogo kashaingia,hahahahaaaaaa eh kidedea eeeeh kidedea...eeeh kidedea.....
Chimunguru said: Kaka naja tuu hata kama Avator yangu ni ya darajani lkn Yanga bwana eti kampakata tena mchumba'ke Siiimba Click to expand... sio kumpakata tu,na ka mimba kadogo kashaingia,hahahahaaaaaa eh kidedea eeeeh kidedea...eeeh kidedea.....
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Oct 29, 2011 Thread starter #19 Dena Amsi said: Ha ha yaani umesahau mlivokuwa mnawekeana dau enzi zile unakaa kwangu ukiwa UDSM?! Click to expand... shemeji na wewe una memory lol,unakumbukia enzi za 1980,81,82.....kha!!!
Dena Amsi said: Ha ha yaani umesahau mlivokuwa mnawekeana dau enzi zile unakaa kwangu ukiwa UDSM?! Click to expand... shemeji na wewe una memory lol,unakumbukia enzi za 1980,81,82.....kha!!!
S Stigliz Member Joined Aug 9, 2011 Posts 44 Reaction score 13 Oct 29, 2011 #20 Binafsi naipenda saaana YANGA,sababu sina ila naipenda tu!