CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Welcome to my world.
You will survive. Ila tukiwabalasa wanaoomba ushauri juu ya mahusiano ambayo hayahusiani uwe unatokelezea eeh!
umepewa ban kwa sheria ipi?
hiyo office hata email hamtumii?
pole sana charm ila usijalihali zenu wanajamvi, kwa majonzi mazito nasikitika kutangaza kuwa ntakuwa naonekana jamvini kimachale cos nimepigwa ban na ofisi kutotumia internet ktk ofc hiyo. kiukweli ntawamis, hasa ntakachomiss ni avatar na picha za babu Asprin, mzee Mtambuzi na dedication za BAK zile anazopost via youtube. nilisikia madame gfsonwin kaweka avatar nzur bahat mbaya sijapata access ya comp so sijaiona.pia like zangu zitakuwa adimu km za flan,so mtaniwia radhi. nipatapo access ya comp ntawapa malike ya kufa mtu!
pole mwaya ama bosi keshajua una visit jamvini? mwaya nimweeka avatar ya picha yangu halis nilipokuwa nimekwenda for short course nchini senegal na nimemshangaa Mtambuzi kaenda kuiiba kule face book.
Ni upepo tu,utapita!
pole sana charm ila usijali
take this....................................................................
So sad but you have ma li............................................................................................................................
Pole mwaya! Nunua laptop utumie nyumbani jioni. Mie nauza used form usa, imetumika kwa muda mfupi.
asante remmy,ngoja nidundulize kwenye kibubu zikifika ntakutafta!
pole mwaya ama bosi keshajua una visit jamvini? mwaya nimweeka avatar ya picha yangu halis nilipokuwa nimekwenda for short course nchini senegal na nimemshangaa Mtambuzi kaenda kuiiba kule face book.