Hili nashukuru sana, maana hivi sasa sijui ningalikuwa vipi.
"Hakika walioamini na wakatenda mema, wao watakuwa katika mabustani yenye neema, wakikaa humo milele." (Qur'an 10:9)
"Hakika Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu..." (Qur'an 3:19)
Nina chujojua Mungu ni Mmoja na hana dini... Halafu hata sioni faida ya kupigania dini.. Ili mradi maisha ni mpito.. Nachukulia dini zote kama mtindo wa maisha tu... Kikubwa Naamini katika Mungu..