amanda cute
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 244
- 452
Tuandae bundle tuya tatu coming soon
can't wait
Bi dada bora Mimi mkweli kuliko wengine kuficha kumbe juu mchezo wanaupenda na wanafanyiwa sanaHivi umefikia season ya ngapi?
Bora ingekua promo maana ningelikua nawakubalia wengi but nothing ....Promo at work....
Maskio na pua zingekuwa na uwezo wa kutanuka binadam angesha pitisha maana matundu yote kayamaliza bado maskio na pua
Kuna ukweli sio muhimu kuuweka wazi since hausaidii lolote wasomaji zaidi ya kujitia aibu tuBi dada bora Mimi mkweli kuliko wengine kuficha kumbe juu mchezo wanaupenda na wanafanyiwa sana
Unajitiaje aibu mfano ?Kuna ukweli sio muhimu kuuweka wazi since hausaidii lolote wasomaji zaidi ya kujitia aibu tu