halafu unashangaa anaenda kukitembeza hukoMwanaume mwenzangu mpende mkeo
Kama wewe unavyo tembezahalafu unashangaa anaenda kukitembeza huko
dah, ndo maana watu wanauana
Kama huna familia bado, njoo tuanzishe yetu, si unaona wenzetu wanavyofarijika..pm yangu ipo wazi...Hongereni kwa kupambana wakuu,. Hakika familia ni faraja
Mie niko nayo mkuu,.Kama huna familia bado, njoo tuanzishe yetu, si unaona wenzetu wanavyofarijika..pm yangu ipo wazi...
Aaaa hongera....Mie niko nayo mkuu,.
Namba......sijawahi kukubaliana na mwana jf yoyote toka huu mwaka uanze lakinu leo nakiri umenena vyema na nakubaliana na ww kwa % π― lakini nisqidie elfu 5 brqza
AsanteAaaa hongera....
Endelea kufarijika kama mtoa mada..
Ssssana!Wanaume wana roho nzuri sana..!
ndo mqana nakupenda πππ€£Wanaume wana roho nzuri sana..!
Umeambiwa uweke namba utumiwe mapene, wewe unadenguando mqana nakupenda πππ€£