Nashukuru nimeweza kuacha uzinzi kwa njia ambayo sikuitarajia

Alisikika mtu mmoja....ooo kuanzia leo namfuata Mungu....akapaza sauti kuu....oooo kuanzia Leo nimeokoka...nimeokoka....

Kila asubuhi anapiga makelele mtaani...oooo Mimi ni mlokole...jamani eee siachi wokovu....

Rip bro.wangu I.....i ambaye kila akikosa fedha alikuwa anashinda MSIKITINI...yaani SWALA 5....
Akizipata Tena tu....kabadilika....🀣🀣

 
 
Brother mimi nikajua umeacha pombe!

Wanawake hawaachwi, ipo siku utafanya tuu.
 
Kumbe haujaacha kwa kupenda, ni kwa vile umepoteza mawasiliano. Na ni kitendo cha juzi tu.

Nasema hivi.
BADO HAUJAAMUA KUACHA.

Ikiwa kweli umeamua kuacha rudisha laini zako zilezile kisha wapige block. Hapo sasa njoo utuambie haya unayojaribu kutudanganya hapa sasa hivi.

Hapo juzi juzi tu bado huna nyege, we subiri zikushike utawafuata wanapoishi hata kama umefuta google. Hii inaitwa maamuzi ya mhemuko.
 
Yatakayo mfika atajua kuwa hajui
.....
🀣
 
....aendelee kutukana "wakunga"🀣
Huyu hajaamua kuacha, anayeamua kwa dhati asingeleta hata uzi hapa. Mtu mwenyewe hajiamini anaogopa hadi kurudisha laini zake, kaacha nini sasa.

Huku sio kuacha bali ni kujificha πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€Έβ€β™‚οΈ
 
Huyu hajaamua kuacha, anayeamua kwa dhati asingeleta hata uzi hapa. Mtu mwenyewe hajiamini anaogopa hadi kurudisha laini zake, kaacha nini sasa.

Huku sio kuacha bali ni kujificha πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€Έβ€β™‚οΈ
🀣
 
yale mambo achana nayo.
Tatizo ukimwii umekaa pabayaa"In Mwinyi mzee wa ruksa's voice"
 
Juzi tuu umeibiwa simu leo unadai umeacha uzinzi??

Genye hazijakushika wewe subiri tuone kama week 2 zitaisha kama hautarudi na kasi ya 5G
 
Kwa kufuta namba ZAO za simu TU...umeacha uzinzi?
nakupa miezi miwili....utakutana na pisi Kali mno,utasave TU namba ZAO Tena....pole na MATUMAIN FAKE....IACHE AKILI IAMUE MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…