Nashukuru nimeweza kuacha uzinzi kwa njia ambayo sikuitarajia

Alisikika mtu mmoja....ooo kuanzia leo namfuata Mungu....akapaza sauti kuu....oooo kuanzia Leo nimeokoka...nimeokoka....

Kila asubuhi anapiga makelele mtaani...oooo Mimi ni mlokole...jamani eee siachi wokovu....

Rip bro.wangu I.....i ambaye kila akikosa fedha alikuwa anashinda MSIKITINI...yaani SWALA 5....
Akizipata Tena tu....kabadilika....🤣🤣

Alisikika mtu mmoja....ooo kuanzia leo namfuata Mungu....akapaza sauti kuu....oooo kuanzia Leo nimeokoka...nimeokoka....

Kila asubuhi anapiga makelele mtaani...oooo Mimi ni mlokole...jamani eee siachi wokovu....

Rip bro.wangu I.....i ambaye kila akikosa fedha alikuwa anashinda MSIKITINI...yaani SWALA 5....
Akizipata Tena tu....kabadilika....

Brother mimi nikajua umeacha pombe!

Wanawake hawaachwi, ipo siku utafanya tuu.
 
Ndugu habarini!

Huu mwaka umekuwa nzuri kwangu kwenye baadhi ya masuala ila ndio mwaka ambao nimekuwa na case nyingi za uchepukaji.

Nilikuwa na mademu zaidi ya wanne ambao nilikukuwa nawala.
Sikuipenda tabia hii ya uzinzi, na miezi 2 iliyopita niliumwa Typhoid nilipokwenda kituo cha afya Doctor akanisihi nipime UKIMWI. Nikawa negative (sina ngoma).

Wife ni mwanamaombi nzuri tu. Jinsi alivyonidaka na michepuko unajua kabisa kuwa Mungu wake kamsaidia.
Kila nikitaka kuacha nashindwa, wakinipigia naweka miadi then tuna do.

Juzi nimeibiwa simu. Sasa michepuko hainipati hewani nami sina mpango nao, namba zao ninazo kwakuwa nilisave google. Nitadelete one to one leo.

Biashara ya uzinzi kwisha habari yake.Sitarenew zile line za simu .
Sisi walinzi tuna utatu mtakatifu ambao tunauita WWW.
Wine
Women &
War.
Sasa mimi nabaki na umoja mtakatifu pekee ambao ni WAR.
Kumbe haujaacha kwa kupenda, ni kwa vile umepoteza mawasiliano. Na ni kitendo cha juzi tu.

Nasema hivi.
BADO HAUJAAMUA KUACHA.

Ikiwa kweli umeamua kuacha rudisha laini zako zilezile kisha wapige block. Hapo sasa njoo utuambie haya unayojaribu kutudanganya hapa sasa hivi.

Hapo juzi juzi tu bado huna nyege, we subiri zikushike utawafuata wanapoishi hata kama umefuta google. Hii inaitwa maamuzi ya mhemuko.
 
Yatakayo mfika atajua kuwa hajui
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
.....
Kumbe haujaacha kwa kupenda, ni kwa vile umepoteza mawasiliano. Na ni kitendo cha juzi tu.

Nasema hivi.
BADO HAUJAAMUA KUACHA.

Ikiwa kweli umeamua kuacha rudisha laini zako zilezile kisha wapige block. Hapo sasa njoo utuambie haya unayojaribu kutudanganya hapa sasa hivi.

Hapo juzi juzi tu bado huna nyege, we subiri zikushike utawafuata wanapoishi hata kama umefuta google. Hii inaitwa maamuzi ya mhemuko.
🤣
 
Huyu hajaamua kuacha, anayeamua kwa dhati asingeleta hata uzi hapa. Mtu mwenyewe hajiamini anaogopa hadi kurudisha laini zake, kaacha nini sasa.

Huku sio kuacha bali ni kujificha 🤣🤣🤣🤸‍♂️
🤣
 
yale mambo achana nayo.
Tatizo ukimwii umekaa pabayaa"In Mwinyi mzee wa ruksa's voice"
Alisikika mtu mmoja....ooo kuanzia leo namfuata Mungu....akapaza sauti kuu....oooo kuanzia Leo nimeokoka...nimeokoka....

Kila asubuhi anapiga makelele mtaani...oooo Mimi ni mlokole...jamani eee siachi wokovu....

Rip bro.wangu I.....i ambaye kila akikosa fedha alikuwa anashinda MSIKITINI...yaani SWALA 5....
Akizipata Tena tu....kabadilika....

Juzi tuu umeibiwa simu leo unadai umeacha uzinzi??

Genye hazijakushika wewe subiri tuone kama week 2 zitaisha kama hautarudi na kasi ya 5G
 
Kwa kufuta namba ZAO za simu TU...umeacha uzinzi?nakupa miezi miwili....utakutana na pisi Kali mno,utasave TU namba ZAO Tena....pole na MATUMAIN FAKE....IACHE AKILI IAMUE MKUU
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom