Habarini wakuu nilikua na shemeji yangu alikua anahangaika kutafuta kazi kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka miwili lakini mwaka huu mwezi february aliitwa kwenye usaili na hivi juzi kapigiwa simu kwamba ametumiwa barua na anatakiwa kuripoti kazini ndan ya siku 14 kwenye Wizara ya ujenzi akiwa kama Afisa ugavi daraja la2.Msikate tamaa ambao hamjapata kazi Mungu atawasaidia kwasababu jamaa alikua hamjui yeyote pale imetokea tu.