"Udhaifu wa akili" ni relative term na si absolute! Kwa mtazamo/uwezo wako wakufikiri ndio umekufanya ufikie hitimisho hilo ulilolifikia. Lakini mtu mwingine - and not necessarily mimi binafsi- anaweza asiuone huo "udhaifu wa akili yangu" uliouona wewe. As they say, common sense is not that common!