Nashindwa kuwaelewa PSPTB niombeni mnifafanulie hili ndugu zangu

Allenieno

New Member
Nov 22, 2012
1
0
Wakati tunafanya registration kwa ajili ya kufanya mitiahani ya board hii tuliambiwa foundation level ni sawa sawa na diploma so once unapomaliza stage hii una kuwa na option either uendelee na proffesional stages or uachane na board uende ukapige bachelor degree kwenye vyuo vinavyotambulika,sasa tatizo linalojitokeza tunapoenda vyuoni tunambia mtu wa foundation inabidi aanzie diploma sasa hii tunashindwa kuelewa sijui inakuaje na tufanye nini
 
Join Date : 22nd November 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Karibu sana mkuu!!!
 
Back
Top Bottom