Thanks,Ngoja nijaribu.ok first of all unatakiwa kuplag modem yako then subiri kama sekunde 20 ili modem yako iwe detecten then fungua connection manager ipo upande wa kulia juu ukibonyeza utaonaimeandika mobile brodband then press hapo utapelekwa kuchagua nchi tafuta tanzania alafu chagua mtandao unaotumia then itajiconnect automatical alafu kwenye player weka cd then play anything my be mp4 itakuuliza uapdate mp4-plagin ikimaliza utaona automatic inaplay video yako
Ooh!i don't know how to thank you,jifunze is everything to me.ok first of all unatakiwa kuplag modem yako then subiri kama sekunde 20 ili modem yako iwe detecten then fungua connection manager ipo upande wa kulia juu ukibonyeza utaonaimeandika mobile brodband then press hapo utapelekwa kuchagua nchi tafuta tanzania alafu chagua mtandao unaotumia then itajiconnect automatical alafu kwenye player weka cd then play anything my be mp4 itakuuliza uapdate mp4-plagin ikimaliza utaona automatic inaplay video yako
Hii ni dualboot pamoja na window 7,vipi kuna madhara yoyote?
Umetisha mkuu,ila unajua nini?mtihani wa mwisho kwa ubuntu ikikubali kuweka AUTOCAD 3D na ARCHICAD, window 7 tupatupa kule.hakuna tatizo lakini fanya nenda software center na fanya update ya software za ko then tafuta modem connection manager kwenye software center hii itakusaidia kuwa unatuma na sms na kuangalia matumizi yako ya internet kwa mb pia tembelea furums mbalimbali zinazozungumzia kuhusu ubuntu zitakusaidia pia endapo utakwama sehemu usisite kunifahamisha