Huu ushauri naona umekaa kimaslahi zaidi [emoji3] [emoji23]Hamna kitu hapo ..mi mwenyewe nilikua namfanyia galfriend wangu hivyo hivyo .l
Behind the scene nilikua simpendi na nilikua nampotezea muda huku nikiwa natafuta wa waku mreplace bila yy kujua ni hayo tu mkuu
Mhuuuuuuu kumbeNakushauri kama mwanaume nikiwa kwenye mazingira yangu ya asili.
Jamaa anakuchukulia wewe wa kawaida mno na haumbabaishi.
Anakutumia kama kitombeo chake. Angalia sana nyakati hizi ndiyo hata tigo utaombwa.
Cha kufanya achana naye utajiumiza kichwa na utajaza threads tu humu.
Mtafute huyu jamaa hearly au Wick kwa msaada zaidi
Mhuuu kumbeNakushauri kama mwanaume nikiwa kwenye mazingira yangu ya asili.