Mkuu sijui hata nimeingiwa na nini, nampenda huyu binti sielewiDogo soma,achana na mapenzi kwa sasa.
Fuata kilichokupeleka hapo chuo,wazazi wakp wanaingia gharama kubwa sana kukusomesha,
usipoteze muda wako utakuja kujuta,achana na huyo binti,
Kama atabadili mtazamo wake basi yeye ndiye atakayekuja kukutafuta ila usiwekeze sana akili yako kwenye mapenzi,
Narudia tena,Kijana soma.
Dah!! sawasawa mkuu,Sema ni vile moyo ni wako ila ungekuwa wangu ningeachana nae na kutafuta mwingine au unataka uruke kwenye ghorofa kama yule wa udom
Pls don't beg for a virgina find another girl and move on.
Unapozidi kumbembeleza ndio unazidi kumpoteza
Sidhani kama wazazi wako wamekutuma ufanye kitu hiki,soma kijana,hapa nilipo mimi nikitongoza wanawake 10 ni wawili tu wanaweza nikataa,utakuta wait your time kijana.Wakuu habari,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 sasa, niko chuo X.
Dah!! sawasawa mkuuTafuta hela
Tafuta hela
Tafuta hela
Nunua gar kal
Mpe zawad na lft kila wakat mkutanapo usisahau kumtoa lunch na dinner na sio kwenye hiv vbanda vya pembezon ya barabara
Sasa apo yeye ndio ataamua yupo single au mko wote kwenye mahusiano